| Mheshimiwa Angelina Mabula akiwa na wahitimu wa Chuo cha Ardhi Morogoro |
| Wanachuo wakisoma risala |
| Maandamano kuelekea sehemu yalikofanyika mahafali |
| Mheshimiwa Angelina Mabula |
| Mwanachuo akitoa maelezo kuhusu matumizi ya DGPS |
| Wahitimu katika maandamano |
| Mkurugenzi wa upimaji na ramani Bw. Lyamuya akieleza jambo wakati wa maonesho ya kitaaluma |
| Mheshimiwa Angelina Mabula akifanya upimaji kwa kutumia darubini |
| Mheshimiwa Angelina Mabula katika maonesho ya kitaaluma |
| Mheshimiwa Angelina Mabula akiwa ofisini baada ya kuwasili katika chuo cha Ardhi Morogoro |
| Mheshimiwa Angelina Mabula alipowasili katika chuo cha Ardhi Morogoro; aliye mbele yake ni Mwenyekiti wa Bodi ya chuo cha Ardhi Morogoro Profesa Mpanduji. |
| Mkufunzi wa chuo cha Ardhi Morogoro akitoa maelezo kwa Mheshimiwa Angelina Mabula katika maonesho ya kitaaluma |
No comments:
Post a Comment